Msaada maswali ya interview utumishi kwa kada ya personal secretary

Negemu

Senior Member
Dec 26, 2017
135
127
Habari wakuu, naomba msaada wa kujua maswali wanayouliza utumishi kwa kada ya PS
 
Habari wakuu, naomba msaada wa kujua maswali wanayouliza utumishi kwa kada ya PS
Wanasema Tunaomba historia yako hilo la kwanza
Tunaomba hobe yako hilo la pili
Tunaomba tujue uzoefu wako ktk kazi unavyoomba hillo tatu
Na mengine mengi tu
 
Wanasema Tunaomba historia yako hilo la kwanza
Tunaomba hobe yako hilo la pili
Tunaomba tujue uzoefu wako ktk kazi unavyoomba hillo tatu
Na mengine mengi tu
Thanks
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…