Jamani naomba kujua summary ya vitu vinavyohitajika ili kuomba mkopo loan board. Kuna vingine nina uhakika navyo lakini naomba kujua kama kuna kingine nimesahau.
Cheti cha form 4
Picha ya passport
Cheti cha kuzaliwa
Picha ya mdhamini
Tsh. 30,000 (application fee)
Je, kuna mengine? Kuna mtu kaniambia akaunt ya benki CRDB ni kweli? Kama kuna lingine niongezeni jamani nisije nikapitwa maana natarajia kujaza kesho