Kwenye form niliyotumia mm nilichukua chuo cha kilimo tengeru na hakukuwa na sehemu ya fee kabisa au labda ilikuwepo ila mm kama mm ckuiona ngoja zile form bado ziko net nafanya review now
iko hivi, kwa wale wenye ufadhili wa serikali wanalipa gharama za chakula kama ifuatavyo;-
1st year ni tsh 1,102,000.
2nd year ni tsh 850,000.
na inalipwa kwa mikupuo miwili yaani nusu nusu.
iko hivi, kwa wale wenye ufadhili wa serikali wanalipa gharama za chakula kama ifuatavyo;-
1st year ni tsh 1,102,000.
2nd year ni tsh 850,000.
na inalipwa kwa mikupuo miwili yaani nusu nusu.