Wadau nimeletewa simu na ndugu yangu kutoka marekani kwa trump, sasa cha kushangaza haisomi sim card za hapa kwetu, naombeni msaada jaman ktk hlo nafanyaje?
Daaa hizo lock zinatoka ila sio cha bure kaka, Mimi nimeagiza falcon box ilaado haijafika solution Ni moja tu, Niambie upo wapi ili nikunganishe na fundi ninaemuamin aliepo mji huo.