Msaada kwa wote wanaotafuta ajira

nana29

Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
30
Reaction score
17
Je Kuna yoyote aliona tangazo la kazi za sales kampuni ya Nomad Tz je una apply vipi?
 
Ushawai kuitwa kwenye interview kupitia zoom ?

Kazi yoyote nikiona zoom tuu na hakuna source nyingine huwa sijisumbui kuomba wasije wakaanza kunisumbuwa na visms vya kipuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…