Mavindozii JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 2,110 Reaction score 2,787 Nov 5, 2015 #1 Wakuu wa Nchi, naombeni kwa wale ndugu zetu wanaoishi China kama Kuna Dawa za KICHINA za kutibu kisukari type 2, diabetes, za kichina. Natanguliza shukrani mabibi na mabwana .
Wakuu wa Nchi, naombeni kwa wale ndugu zetu wanaoishi China kama Kuna Dawa za KICHINA za kutibu kisukari type 2, diabetes, za kichina. Natanguliza shukrani mabibi na mabwana .
ndama1 JF-Expert Member Joined Aug 11, 2014 Posts 278 Reaction score 96 Nov 5, 2015 #2 Ngoja nitajaribu kutembelea duka za dawa then nitakujuza kama zinapatikana usihofu.!
Mavindozii JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 2,110 Reaction score 2,787 Nov 5, 2015 Thread starter #3 Asante sana bwana Ndama 1
Kaveli JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 5,479 Reaction score 9,020 Nov 5, 2015 #4 Naomba kujua wadau, Hivi huu ugonjwa wa Kisukari unasababishwa na nini hasa? na ili mtu ajikinge asipate ugonjwa huu, nini cha kuzingatia/kufanya? Maana sasa naona huu ugonjwa ushakuwa janga la Dunia
Naomba kujua wadau, Hivi huu ugonjwa wa Kisukari unasababishwa na nini hasa? na ili mtu ajikinge asipate ugonjwa huu, nini cha kuzingatia/kufanya? Maana sasa naona huu ugonjwa ushakuwa janga la Dunia