Msaada kwa vyuo

Joined
Feb 16, 2016
Posts
7
Reaction score
2
habari za jioni ndugu zangu,
naomba kujua kama kuna chuo ambacho kinapokea wanafunzi kwa ngazi ya diploma kwa sasa
ni hayo tu.
 
Unataka kujua vyuo hivyo kwa vinavyotoa Diploma ya nn sasa unayoulizia ww??
 
Mimi Ni Mkuu Wa Chuo DIT! Je Ada Unayo Kamili!?? Diploma Hata Ya Ukitaka Nakutumia Au Unaifuata! Uamuz Ni Wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…