thebusdriverclassc
Senior Member
- Jan 16, 2014
- 146
- 66
Anza na ukaguzi wa fuse, bila shaka Idadi kubwa ya fuse zitakuwa zimeungua.Sasa issue ni kwamba gari imewaka lkn hakuna taa yoyote inayowaka zaidi ya zile za mbele kubwa...,mean hakuna Mwanga wowote kwenye dash board,parking light,sport light wala inside the car light inayowaka..Wadau naomba mnijuze shida itakuwa ni fuse au nimeunguza nini nianze kuandaa kibunda kirefu cha fundi waya???
Asante sana mdau kwa ushauri mzuriMkuu, kama itawezekana usiliendeshe. Ila mtafute fundi wa umeme wa magari, aje afanye ukaguzi hafu akutajie gharama za matengenezo hafu wewe mlipe tu hela ya ukaguzi wakati unajipanga kutengeneza kama gharama ni kubwa.
Ila kama una utundu pia, fanya kama jamaa alivyokuambia. Pia unaweza kujaribu kubadirisha battery au kuzima gari toa battery kwa dakika kadhaa kisha rudisha.
Gari za zamani sana ukifanya hivyo unaweza kuta umeua Altanetor, au ata ECU.
Pia check fuse box zote unaweza kuona zilizoungua zitakua zimebsdirika rangi au zinanuka kuungua ungua.
Asante sana mkuu nitalifanyia kaziHapo chini ya usukani kuna 'kikopo' cha fuse. Nenda kwa fundi ukabadilishe zoote. Kuzinunua hazizidi hata sh elfu kumi na fundi mpe sh elfu tano tu. Pole.
Tupe mrejesho basi.Asante mkuu,
Duuh! Tangu 2018 tena February unakuja kuulizia mrejesho leo??? Pengine hata mwenye Uzi kashadead, Dunia inakimbia sanaTupe mrejesho basi.