kunajamaa yangu alipata matokeo haya1.History C
2.Kiswahil D
3.Language D
4.General Study -failed
haya ni matokeo ya A-level.anaweza aka apply course ipi na wapi akapata?Maana wengine wanamwambia amefail somo namba 4 eti ni lazima areset ni kweli wana jf?Msaada tafadhali.
kunajamaa yangu alipata matokeo haya1.History C 2.Kiswahil D 3.Language D 4.General Study -failed haya ni matokeo ya A-level.anaweza aka apply course ipi na wapi akapata?Maana wengine wanamwambia amefail somo namba 4 eti ni lazima areset ni kweli wana jf?Msaada tafadhali.
Kuna watu me nawajua wana III.9 kwa kua wamepigwa penalt ya G.S na wameapply sasa huyo ndugu yako alikua anamaana gani kusubiri tcu wafunge application kama anauwezo akaombe chuo private but nayo anaweza kufanya hivyo baada ya matokeo kutoka
lengo la kuomba msaada ilikuwa ni kutaka wenye ufahamu kushauri course ambayo anaweza kuomba.pia kama kuna uwezekano wa huyu jamaa yangu kufanikisha maana watu wa mtaani walimdiscourage sana ila akipata ushauri mzuri hata mwakani anaweza jaribu ku-apply.
Ushauri ni kwamba Gs siku zote haina effect kwenye kuomba vyuo vikuu(evidence tcu guide book) lkn effect ni kunye cheti kupunguzwa daraja,so angeweza kusoma kila kitu,so mwambie anaqualification zote na kwa mwaka huu kashachelewa,try next week.
Ushauri ni kwamba Gs siku zote haina effect kwenye kuomba vyuo vikuu(evidence tcu guide book) lkn effect ni kunye cheti kupunguzwa daraja,so angeweza kusoma kila kitu,so mwambie anaqualification zote na kwa mwaka huu kashachelewa,try next week.
Hapana huyo chuo anapata bila ya kurudia hiyo GS kwani kuna ndugu yangu aliscore the same kama ilivoeleza last year alipata chuo na hata mkopo alibahatika hivyo basi kama mpaka sasa hajaomba chuo chochote hapa Tanzania basi atakuwa amechelewa ila asiogope kwa hilo.
Nawashukuru sana wakuu kwa ushauri na mimi nitayawasilisha kwa mhusika na kumpa moyo kwani mi naamini sana ushauri wa hapa kuliko huko alikodanganywa.akhsanteni na wanajf mbarikiwe nyote.