Hakuna Joining instruction ya kozi moja,huwa kuna joining instruction moja tu ya kujiunga na chuo husika kwa kozi zote.
Wewe kama unaitaji joining instruction ya udom basi ingia katika website hii [
http://alis.udom.ac.tz/]
Natumai umenipata mkuu!!!
UDOM - ALIS Login