Msaada kwa iphone

uncle

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2007
Posts
325
Reaction score
184
Wanadau nina iphone 5 toka marekani lakini inatatizo la kupoteza network kwani inandika no service.naomba msaada jinsi ya kukwamua ile tatizo
 
Hiyo ni ya kuibwa aliyekuuzia au kukupatia kaiiba.
 
Acha uongo ww hapo juuu iphone baadh zipo hvo mkuu ukiona hvo zima afu washa tena


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Wanadau nina iphone 5 toka marekani lakini inatatizo la kupoteza network kwani inandika no service.naomba msaada jinsi ya kukwamua ile tatizo

Inategemea upo eneo gani na umeset network mode gani..mfano kama n 3g na ulipo hakuna 3g lazima ipoteze network, vema kuweka gsm kwa mahali pasipo na 3g au weka auto kabisa ....nadhani hapo utatibu tatizo, okay?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…