Wakuu mwenye uelewa mzuri wa laptop ninataka kununua laptop kati ya shi. 500000-600000 .nisaidie ni laptop ip ni nzuri na wakati nanunua nitaijuaje kama ni yenyewe.
Graphic designing
Ukishindwa kupata Mac basi upate HP. Hakikisha ram inaanzia 4G na processor walau core i3. Software nyingi ku install zinahitaji ram tajwa hapo juu.