[TD="class: DEFINITION, width: 17"][/TD]
[TD="class: DEFINITION"]Maana yake ulipatia kwa ulichotaka kumaanisha. Ila matamshi ninajua mwalimu wako wa
phonology
atakuwa amekunja sura sasa tamka tena ili umuondolee makunyanzi mwalimu wako.
[/TD]
[TD="class: DEFINITION, width: 17"] '[/TD]
[TD="class: DEFINITION"]
mining company's payment to landowner:
money paid to a landowner by a company taking minerals, oil, or gas from his or her land (
often used in the plural
)'
Usirudie kutamka 'Royaliti' hili siyo la kingereza[/TD]
Tulishakubaliana hapa ndani kuwa huyu kibonde hapaswi kujadiliwa hapa. Hana umuhimu wowote katika hii nchi. Labda familia yake. Lakini hata hapo kazini kwake Clouds, watangazaji wenzake wanamuona kama mr.porojo. Mjadala ufungwe, baada ya kusema hayo machache.
Huyu half minded, pathetic, ignorant na domo vuvuzela, tulishasema tusimjadili. Kwanza ana fungus wengi kichwani wanaomfanya afanye hayo anayoyafanya...