Abercrombie13
Member
- Jul 14, 2018
- 65
- 120
ShukranUtaliwa kichwa, hakunaga informal recruitment ya namna hiyo. Yaan upate kazi ya kufanya vitest vya kulipia mtandaoni?
Your vulnerable nearly to opportunity shituka
Sawa mkuu.Acha upumbavu wewe, duniani hakuna kazi ya kutoa hela
Graduate Since 2021Wewe ni graduate...??[emoji848]
Daah na vile ajira hakuna wanataka watufanye fursa.[emoji24]Hao ni mataperi mkuu...natamani sana mama samia afute taasisi zote kwa sababu zimejaa mataperi kama akina yusufu na wengineo
Basi sawa mkuu, mie sina neno lingine la kuongezea hapoGraduate Since 2021
Matapeli @ work, achana nao.Habarini wakuu.
Majuma Kadhaa yaliyopita niliona post ya nafasi za ajira kutoka GLASER HEPATITIS B HEALTHCARE INITIATIVES (GHHI), katika page moja inayohusiana na mtangazo ya ajira.
Nilitembelea kwenye page yao (GHHI) nikaona nafasi walizotoa na nikafanikiwa kuomba. Leo jioni wamenitumia email ya kunihtaji kujaza fomu waliyonitumia "NEW STAFFF ENTRY ASSESSMENT FORM".
Pia wakinitaka nifanye IQ Test nijaze kwenye hiyo form. Sasa changamoto inakuja kwenye hiyo IQ test wanahitaji pesa. Sasa linapokuja suala la kutoa pesa wakati wa kuomba ajira linanipa machungu na kunikumbusha yaliyopita. Naomba msaada Kwa yeyote anaelijua hili shirika kama wako real au scam, Nisije nikajaa kwenye mtego.
Naambatanisha na picha ya email pamoja na link ya website Yao.
View attachment 2674557View attachment 2674556
Mwenyewe wamentumia hiyo email....ila wanakuambia pia ni ruksa kufanya hiyo test kokote kule sio lazima hizo site wanazokupa waoHao ni mataperi mkuu...natamani sana mama samia afute taasisi zote kwa sababu zimejaa mataperi kama akina yusufu na wengineo