Kuna dawa aina 3 nimeandikiwa mojawapo ni ya kunywa asubuhi baada ya chai. Bahati mbaya alisema kwa mdomo tu ila hakuandika na hospitali ni mbali.
Naomba kama kuna mtaalam anisaidie kutambua
1.Neuro support
2. Calcimag
3. Meloxicam
Natanguliza shukrani