Msaada: Kurecover files kutoka SSD iliyokufa

mkadiriajimajenzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
551
Reaction score
618
Nimepata mtihani wa kufiwa na Solid State Drive (SSD) ya laptop yangu yenye 256GB storage capacity.

Naomba msaada kwa mtu mwenye utaalamu wa kurecover files kwa namna yoyote ile an isaidie.

Nimejaribu kuitoa kwenye laptop na kuitumia kama external drive bila mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…