Mbali na macho kufunga na kutokwa manundu je, wanatoa machoz/majimaji yenye rangi nyeupe kama sabuni??
Kama ndivyo huo ugonjwa unasababishawa na upungufu wa vitamin A je, hua unawapa vitamni kuku wako?
Heb nijibu maswal haya kwanza ndipo tuendelee na matibabu!!
Mimi ni mtaalam wa kilimo na mifugo usisite kuuliza chochote!!