Habarini za leo wana jukwaa, External hd yangu iliingia virus visomekavyo Recycler, autorun info. na system volume information kotoka computer ya rafiki yangu nikaenda kuiscan na kerspasky antivirus ikadetect virus na ku disinfect, nilipoichukua kuiweka kwa pc yangu mafail yote hayaonekani ila memory ya hd haijapungua. so naombeni msaada wenu tafadhari..
Kweli penye wengi hakishindikani kitu, nashukuru sana kaka nimefanikiwa, mafail yote yanaonekana vipi kuhusu hili fail la recycler, nilifanyeje liondoke kaka?