msaada kuhusu Mobile network

Introver

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2019
Posts
570
Reaction score
663
Simu inaonyesha line ipo fresh, lakini nikipiga simu ina niambia network unavailable sijui tatizo nini
 
Hujasalimia, hujasema unatumia simu gani, model ipi, ila subiri watakuja
 
inawezekana mtandao ndio unaosumbua eneo hilo jaribu kwenda kwenye setting mobile network halafu weka 2g
 
Kama kwenye internet setting umesett 3G only badilisha then weka 2g or 3g ili isapot kotekote y2haziwez kusapport 3g only aisee
 
Bonyeza *#06# kuona imei zako.
Nenda pia setting hadi about phone utume picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…