Msaada kuhusu maombi ya kazi

mzizi1

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Posts
265
Reaction score
714
Habari ndugu, ninaomba kuuliza, hivi karibuni Kuna matangazo mengi ya nafasi za Ajira yametoka.

Huku Ajira Portal kwenye kuambatanisha barua, tunaambatanisha barua pamoja na CV ama barua pekee?!!

Maana Kuna tangazo la chuo kimoja kwenye pdf wanataka uambatanishe namba ya nida, certified copies na detailed CV

Nawasilisha
 
Kuna kipengele cha other attachments hapo ndipo unatakiwa kuweka CV.
 
Maana yake ni kwamba unaprint Ile CV yao ndo unaipandisha tena
 
Mkuu wewe upload barua tu CV inakua kama ilivyo vyeti vyako tu Kama ushaiwekaga kwenye other attachment Haina Tena shida ya kui upload Tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…