MSAADA;Kuhusu kozi zifuatazo

CdoEngineer

Member
Joined
Feb 2, 2015
Posts
93
Reaction score
19
>Bachelor of arts in project planning,management andcommunity development
>Bachelor of health system management
>Bachelor of arts in geography and environment studies
Wakuu! kulingana na kozi hzo hapo juu
-Mwenye kusoma atahusika na masuala yapi?
-Vipi kuhusu fursa za ajira au kuajiriwa?
 
Bachelor of Health system Management ilikuwa poa sana zamani but cku hzi makatibu wa Afya wamejaa fursa kwa course unaweza kusoma Masters ya Monitoring and Evaluation ambayo ni very potential but kwa Elimu ya Sasa soma chochote unachokipenda masuala ya ajira usitegemee kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani mkuu
 
Bachelor of arts in project planning, managment and community dvp
Ni multipupose course, inagusa kila cona za walio specialize kwenye izo coz mbili ether community dvlp au project.

Na ikumbukwe tupo kwenye ulimwengu wa mapinduz ya poverty reduction. Na ulimwengu wa maendeleo endeleo
Ivo kuna ushirikiano mkubwa kati ya private N.G.os na Gv.
Ivo bas fursa za ajira ukiwa na barcherol. Ni kubwa na ujuz wa kujiajili kufanya kazi na jamii ni mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma course ambayo ina impact mbili;
1, Kuajiriwa
2, Kujiajiri ktk fani uliyosoma,
hili mara nyingi graduete wanalichanganya sana kwa mfano mtu kasoma law anafanya biashara ya nguo wakati angeweza kufanya kazi za kisheria, mtu kasoma education anafanya biashara ya vyakula!
Ni kweli tunasoma alafu tumalize tutupe degree zetu na kuanza upya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…