Habari Wakuu!
Naomba kwa anayejua juu ya hii kozi huwa inatolewa kwa degree kwa vyuo gani vingine hapa nchini mbali na Mzumbe university,
Pia kazi zake ni zipi baada ya mwamafunzi kumaliza,
Na vipi soko lake la ajira hapa nchini.
Natanguliza shukrani.