Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 139
Unatakiwa uende HESLB na barua ya kuahirisha masomo ili usitishe mkopo, hata hivo mwaka ambao utataka kurudi masomoni ni lazima utume maombi ya mkopo tena. Ndivyo ninavyofahamu
Kwan huwez kupostpone bila ya kuwa na matokeo hata ya semista na je kama umekosa ada ya kufanya registrationKwa first year haiwezekani ku postpone mpka upate matokeaa atleast ya semister moja .....ila kwa HESLB sijajuaa
Mkuu we tatizo lako ni lipi hasa kwan hata mim nimevumilia tu ....ningekuwa na uwezo nishahama chuo na koziiiiMaana, nmeona calculum ya hiki chuo hainifai, kama si hvo nilitaka nihamie chuo kingine mapema kabla sijachelewa sasa najiuliza sijui itawezekana pia hili swala la kuhama nikahama na mkopo wangu,
Na ada ikahamishiwa kule ninako kwenda
Wengine hatuna uvumilivuMkuu we tatizo lako ni lipi hasa kwan hata mim nimevumilia tu ....ningekuwa na uwezo nishahama chuo na koziiii