mzibua chemba
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 476
- 413
Kwani ile ya kufikisha miaka 55 imesitishwa mkuu?nssf nasikia wanatoa ela ila kwa ppf nasikia imekua ngumu naomba msaada ni jinsi gani naweza kupata huko ela zangu maana nimeachishwa kazi toka mwezi wa 5 na nina mzigo wa maana sasa nasikia hawataki kutoa ela wakati kule hela yangu haiongezeki wala kuzalisha huku mimi nataabika mtaani
Mi mwenyewe nina hela zangu huko na nilipoanza kuzifuatilia wakaniambia eti wamesitisha fao la kujitoa. Kusema kweli wanaboa sana hao watu na kwa staili hii watakosa wanachama wapya wa kujiunga na mfuko wao.nssf nasikia wanatoa ela ila kwa ppf nasikia imekua ngumu naomba msaada ni jinsi gani naweza kupata huko ela zangu maana nimeachishwa kazi toka mwezi wa 5 na nina mzigo wa maana sasa nasikia hawataki kutoa ela wakati kule hela yangu haiongezeki wala kuzalisha huku mimi nataabika mtaani
huu utawala unasikitisha sanaMi mwenyewe nina hela zangu huko na nilipoanza kuzifuatilia wakaniambia eti wamesitisha fao la kujitoa. Kusema kweli wanaboa sana hao watu na kwa staili hii watakosa wanachama wapya wa kujiunga na mfuko wao.
nssf nasikia wanatoa ela ila kwa ppf nasikia imekua ngumu naomba msaada ni jinsi gani naweza kupata huko ela zangu maana nimeachishwa kazi toka mwezi wa 5 na nina mzigo wa maana sasa nasikia hawataki kutoa ela wakati kule hela yangu haiongezeki wala kuzalisha huku mimi nataabika mtaani
ebu tupe elimu kidogo mzee kama kazi imeisha uliko kua unafanya secta binafs unafanyajeHakuna kitu kinaitwa FAO halafu unajitoa
mbona nssf watoe wao ppf wasitoeppf wameharibu ndoto zetu wengi sana....
hakuna njia nyingine ya kupata mtaji zaidi ya mikopo bank tu yenye riba kubwaaaaaaaaaa..
yaani umaskini umeshakuwa ndio goal ya serikali
Kwanza jua kuwa sheria iliyoanzisha hii mifuko inasemaje,hakuna duniani kote FAO LA kujitoa,hili liliwekwa tu kisiasa ila lengo kuu ni pension na pension ni miaka 55-60,hivyo vumilia tuebu tupe elimu kidogo mzee kama kazi imeisha uliko kua unafanya secta binafs unafanyaje
daa now ndiyo na 30 na sitarajii tena kuajiriwa kabisa sasa mbona hizi secta binafsi viwanda, ujenzi wa Majengo na kampun ambazo ni kazi za mikataba mfupi alafu ndiyo unaambiwa miaka 55 wakati unafanya kazi miaka miwili wamemaliza inahaja gani kujiunga kwenye hii mifukoKwanza jua kuwa sheria iliyoanzisha hii mifuko inasemaje,hakuna duniani kote FAO LA kujitoa,hili liliwekwa tu kisiasa ila lengo kuu ni pension na pension ni miaka 55-60,hivyo vumilia tu
Ni Tanzania tu ndio kuna fao la kujitoa.Hakuna kitu kinaitwa FAO halafu unajitoa
HAPA DAWA NI KUKUTANA WOTE TUNAOIDAI PPF TUPEWE HELA ZETUdaa now ndiyo na 30 na sitarajii tena kuajiriwa kabisa sasa mbona hizi secta binafsi viwanda, ujenzi wa Majengo na kampun ambazo ni kazi za mikataba mfupi alafu ndiyo unaambiwa miaka 55 wakati unafanya kazi miaka miwili wamemaliza inahaja gani kujiunga kwenye hii mifuko