wana jf amani iwe juu yenu.
wakuu natumia android dabo line ambayo inayojulikana kwa jina la eastcom, lkn ina muonekano na function sawa na htc, hii cm wametengeneza kina huha,china, na nlipewa km zawadi.
cha ajabu ni kua kila nnapowasha intanet nahis km inatoa rays na inasababisha mikono kua moto so inanitisha sana. wanaofuham nijuzeni si hatari hii? ukizingatia haka ka cm nakazimia mbaya msaada pls...