Msaada kuhusu ajira PCCB

KAKAYAO

Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
29
Reaction score
1
Npo jkt mwaka na nusu sasa,ndoto zangu ilikuwa nikutumikia kitengo cha PCCB, niliptia huku JKT mana niliambiawa PCCB wanachukulia watu huku JKT,Lakin wamekuja kufanya usaili hawakuwataka degree holders.Naomba msaada wenu wana jamvi anaeweza kunisaidia kupata nafasi yakazi PCCB nina BSc.IT na nipo JKT kwa sasa ila kwenye usaili wametutenga digrii.
 
kama wanataka vya sekondari basi weka kando degree tumia hivyo vya sekondari
 
Nilisikia ukiwa graduate j.k.t hukai sana unapata shavu vitengo vingi.sasa mkuu imekuaje tena huko??unatutisha tunaotaka kuja
 

Mbona huku mtaan wamechukuliwa wa degree
 

Mbona walitangaza na hapa tangazo liliwekwa naamini wenye sifa wanalitumikia taifa
 
Nilisikia ukiwa graduate j.k.t hukai sana unapata shavu vitengo vingi.sasa mkuu imekuaje tena huko??unatutisha tunaotaka kuja

Mkuu vigezo huzingatiwa
 
Kwa ushauri wa bure nduguzanguni kama unakaz ucjeukaacha kisa uende jkt utapata kazi nzuri msijidanganye tulioko uku ndio tunajua ukweli nalisem ili kwasababu kuna watu wengi uku wameacha kazi zao wamekuja uku matokeo yake wanaanza kulalamik serikali inaongea tu ajira ziende jkt lakin kiukwel ni sekta chache sana hazizidi ata tano ukilinganisha na uwiano wa umati uliokuepo cwakatish tamaa ila uo ndio ao ukweli
 
Jkt sio recruiting agency take note.
 
Kaka n majanga,kama unakibarua chako ucjisumbue kuja huku utalima kama msukule nakulala nje kama mwanga ila ajira hakuna na utajutia hata kamshahara kako kalaki 2 mtaani.cc tnataka kukimbia huku tnajuta kuja.
 
Depo ya pili wiki iliyopita,kuna jamaa yangu ana degree kaenda depo huko Moro mkuu...Hakupitia jkt.
 
Yah ni kweli walichukua uraiani kk hakun usail wa graduate uliofanyik uku jkt wanaogopa gharam mana tumekua kama wachezaj wa ulaya wanaon bora wajichukulie free of charge uraiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…