Nina 450,000/=
Sawa, sasa kwa hiyo hela niliyonayo naweza laptop ipi mpya na yenye specifications zipi.
7k to 6k
Shukrani wakuu kwasababu nitakua nafanyia kazi kama image editing na kazi nyingine nadhani mini laptop haitanifaa, hapa cha muhimu niongeze hela nipate laptop nzuri zaidi kama mlivyonishauri.
Ucje ukanunua hp
zinachemka kama mashine yakusagamkuu HP zina matatizo gani?
inategemea maana nyingi za sa hv zenye processor kubwa zinachemkazinachemka kama mashine yakusaga
Mkuu Black Bat Mbona unakandia HP? Wamerekebisha siku hizi hazichemki kabisa.zinachemka kama mashine yakusaga
zinachemka kama mashine yakusaga