E expertfilly Member Joined Oct 15, 2013 Posts 8 Reaction score 2 Oct 15, 2013 #1 Wakuu msaada kuflash modem aina huawei e153,nimetumia huawei unlocker na dc unlocker,ila cjafanikiwa..cjui ntumie software gan wadau!
Wakuu msaada kuflash modem aina huawei e153,nimetumia huawei unlocker na dc unlocker,ila cjafanikiwa..cjui ntumie software gan wadau!
Frank G Senior Member Joined Jan 1, 2013 Posts 168 Reaction score 40 Oct 15, 2013 #2 mkuu kabla ya kuomba msaada hebu uwe unajaribu kusearch thread kuusiana na tatizo lako humu JF hii kitu ilishashapostiwa kitambo na mkuu e2themiza na bado mkuu gkiwango akakazia anyway pitia hapa how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM na hapa Finally Huawei E173 Airtel Unlocked/Flashed kwenye hiyo tittle ya pili hakikisha unasoma maelezo mwisho!
mkuu kabla ya kuomba msaada hebu uwe unajaribu kusearch thread kuusiana na tatizo lako humu JF hii kitu ilishashapostiwa kitambo na mkuu e2themiza na bado mkuu gkiwango akakazia anyway pitia hapa how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM na hapa Finally Huawei E173 Airtel Unlocked/Flashed kwenye hiyo tittle ya pili hakikisha unasoma maelezo mwisho!