BRO LEE JF-Expert Member Joined Dec 25, 2011 Posts 830 Reaction score 605 Oct 14, 2016 #1 Naomba kuelekezwa namna ya ku UNLOCK VODAFONE V 75 Mtoto alichezea ikafungwa, ikawa inahitaji e mail, lakini nimejaribu kuingiza password imegoma, kuna ujumbe kwamba nakosea japo nikifungua kwa hii simu hiyo.e mail inafunguka.
Naomba kuelekezwa namna ya ku UNLOCK VODAFONE V 75 Mtoto alichezea ikafungwa, ikawa inahitaji e mail, lakini nimejaribu kuingiza password imegoma, kuna ujumbe kwamba nakosea japo nikifungua kwa hii simu hiyo.e mail inafunguka.
ANTHONY KWEKA JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 958 Reaction score 380 Oct 14, 2016 #2 Hardresert
BRO LEE JF-Expert Member Joined Dec 25, 2011 Posts 830 Reaction score 605 Oct 14, 2016 Thread starter #3 ANTHONY KWEKA said: Hardresert Click to expand... Asante mkuu, je inafanywaje?
ANTHONY KWEKA JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 958 Reaction score 380 Oct 14, 2016 #4 Ingia You tube Hard resert for vodafone 75
BRO LEE JF-Expert Member Joined Dec 25, 2011 Posts 830 Reaction score 605 Oct 14, 2016 Thread starter #5 ANTHONY KWEKA said: Ingia You tube Hard resert for vodafone 75 Click to expand... Asante mkuu
BRO LEE JF-Expert Member Joined Dec 25, 2011 Posts 830 Reaction score 605 Oct 14, 2016 Thread starter #6 ANTHONY KWEKA said: Ingia You tube Hard resert for vodafone 75 Click to expand... Nnimefanikiwa asante kwa mawazo mkuu
ANTHONY KWEKA said: Ingia You tube Hard resert for vodafone 75 Click to expand... Nnimefanikiwa asante kwa mawazo mkuu
ANTHONY KWEKA JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 958 Reaction score 380 Oct 14, 2016 #7 Enjoy jf
M Michael Dinglefoot Member Joined Jul 12, 2015 Posts 16 Reaction score 0 Oct 15, 2016 #8 Mkuu!! Naomba msaada Wa jinsi ya kuunlock vf685 itumie line zote
mazagazagaa JF-Expert Member Joined Sep 26, 2016 Posts 290 Reaction score 209 Oct 19, 2016 #9 Michael Dinglefoot said: Mkuu!! Naomba msaada Wa jinsi ya kuunlock vf685 itumie line zote Click to expand... mkuu hiyo kama unataka ku-unlock ni sh 10,000 inachukua dakika kumi tuu, hapo inahitaji unlock codes, kama unahitaji ni-pm
Michael Dinglefoot said: Mkuu!! Naomba msaada Wa jinsi ya kuunlock vf685 itumie line zote Click to expand... mkuu hiyo kama unataka ku-unlock ni sh 10,000 inachukua dakika kumi tuu, hapo inahitaji unlock codes, kama unahitaji ni-pm
M Mozzer New Member Joined Sep 8, 2016 Posts 3 Reaction score 12 Oct 22, 2016 #10 mazagazagaa said: mkuu hiyo kama unataka ku-unlock ni sh 10,000 inachukua dakika kumi tuu, hapo inahitaji unlock codes, kama unahitaji ni-pm. Mkuu mimi pia nina shida ya ku unlock iPhone 6 nahitaji huo msaada Click to expand...
mazagazagaa said: mkuu hiyo kama unataka ku-unlock ni sh 10,000 inachukua dakika kumi tuu, hapo inahitaji unlock codes, kama unahitaji ni-pm. Mkuu mimi pia nina shida ya ku unlock iPhone 6 nahitaji huo msaada Click to expand...
mazagazagaa JF-Expert Member Joined Sep 26, 2016 Posts 290 Reaction score 209 Oct 22, 2016 #11 je hiyo i phone 6 unataka ku unlock ili iingize line zaidi ya moja au ina i cloud.. kama ni i cloud hapo ni utata
je hiyo i phone 6 unataka ku unlock ili iingize line zaidi ya moja au ina i cloud.. kama ni i cloud hapo ni utata
M Mozzer New Member Joined Sep 8, 2016 Posts 3 Reaction score 12 Oct 23, 2016 #12 mazagazagaa said: je hiyo i phone 6 unataka ku unlock ili iingize line zaidi ya moja au ina i cloud.. kama ni i cloud hapo ni utata Click to expand... Nahitaji ku-unlock ili iingize line zaidi ya moja hakuna cha I cloud
mazagazagaa said: je hiyo i phone 6 unataka ku unlock ili iingize line zaidi ya moja au ina i cloud.. kama ni i cloud hapo ni utata Click to expand... Nahitaji ku-unlock ili iingize line zaidi ya moja hakuna cha I cloud