@
Njunwa Wamavoko nami naomba msaada kama uo wa mtoa mada,nina modem kama yake ya airtel 3531s-1 ila nimejaribu ku unlock kwa kutumia huawei dc modem unlocker client ila cha kuchangaza ina sema modem not found,pia nimejaribu kutafuta software nyingine inaitwa huawei modem unlocker ila pia haionyeshi com port ili modem iweze kuonekana,hapa mm ndio nina kwama kuendelea ku unlock.