habar wanajamvi.mimi ni mgeni kwenye electronic devices,nahitaji kuplay video through u tube ila imenigomea naomben msaada wa app itakayonisaidia tafadhali pia na ya download kwenye u tube.
natanguliza shukrani..