Msaada: Kioo cha GIONEE ELIFE E7-MINI

mcShayo

Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
93
Reaction score
24
Wanajamvi, nilinunua simu hii ya GIONEE E7-Mini nikiwa India Early Last year ni nzuri kwa muonekano na specifications zake pia si haba..

Mwezi January mwaka huu nikiwa najaribu kuiupdate ikastack and unfortunately ikadrain battery, kucharge nako ikagoma and mafundi wetu wa kibongo pale SAPNA wakavunja kioo wakati wa kuifungua ili wa boost battery yake..

Mwenye kuweza kunisaidia kupata kioo cha hii simu I'll be more than grateful!!! Shukrani sana in advance!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…