fatherhood
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 538
- 562
Sie wapbongo letu kilimo bora achukue agricultural tuuHabar jf
Niende direct kwenye mada husika , nilimfanyia application za vyuo mdogo wangu, amepata NIT MECHANICAL ENGINEERING na SUA AGRICULTURAL ENGINEERING , kwa uelewa wenu na soko la ajira ipo kozi nzuri .
Natanguliza shukran .
Kwan selection za Leo zishatoka tiar?Habar jf
Niende direct kwenye mada husika , nilimfanyia application za vyuo mdogo wangu, amepata NIT MECHANICAL ENGINEERING na SUA AGRICULTURAL ENGINEERING , kwa uelewa wenu na soko la ajira ipo kozi nzuri .
Natanguliza shukran .
Hivi engineering si ndio watengenezaji wa mitamboSie wapbongo letu kilimo bora achukue agricultural tuu
Agric engineering ni subset ya mechanical engineering. Agric engineering ni tawi la mechanical linalo deal ya uundaji wa dhana za kilimo. Which means hata engineer wa mechanical anauwezo wa kuunda tools za kilimo (if at all kichwani yuko fresh).Habar jf
Niende direct kwenye mada husika , nilimfanyia application za vyuo mdogo wangu, amepata NIT MECHANICAL ENGINEERING na SUA AGRICULTURAL ENGINEERING , kwa uelewa wenu na soko la ajira ipo kozi nzuri .
Natanguliza shukran .
Ndio mkuuKwan selection za Leo zishatoka tiar?
Nenda Agriculture ipo poaHabar jf
Niende direct kwenye mada husika , nilimfanyia application za vyuo mdogo wangu, amepata NIT MECHANICAL ENGINEERING na SUA AGRICULTURAL ENGINEERING , kwa uelewa wenu na soko la ajira ipo kozi nzuri .
Natanguliza shukran .
Unaishi kwa kukaririSoma Engineering mama
- Civil
- Mechanical
- Electrical
Hizo Engineering Nyingine ni michongo ya vyuo kupiga pesa.
Unasomaje kozi ambayo hujawahi kuiona Ajira Portal wakitangaza kazi walanhaipo kwenye muundo was Utumishi.