Msaada juu ya Ku-Install Kali linux

the great wizard

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2015
Posts
1,482
Reaction score
894
habari zenu akuu
leo nilikuwa najaribu kuinstall kali linux katika pc yangu sasa kabla ya kuanza kuinstall inaleta ujumbe huu

msaada kwa yoyote mwenye ujuzi juu ya kutatua tatizo hili
 
Inawezekana software uliyotumia imewrite kwenye flash kwa kutumia block size tofauti na 512k au umecopy mafile direct kutoka kwenye iso na kutupia kwenye flash, kwenye official page ya Kali linux wanasema kama unatumia dd then tumia 512k block size, kama umecreate bootable kwenye windows wanashauri utumie Win32 disk imager, maelezo yote yapo hapa
 
ok ngoja nicheki mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…