Jaman ndungu zangu kwa anaeifahamu kozi hii ya mechatronics engineering anijuze vizuri .....
Na vipi kuhusu soko la ajira kwa sasa inalipa? Na je unaeza kujiajiri wapi ?
hahhaa watanzania bhn bado wanawaza kuajiriwa kiufup kozi n nzur Sana kwa kujiajiri IPO must pale
note: ukisoma engineering usibez sana upande WA kuajiriwa waza kujiajiri
Mechatronics Engineering ni fani inayounganisha Mechanical na Electronics Engineering kwa pamoja mfano mwepesi ni utengenezaji wa/au utaalamu wa Robots
Mechatronics Engineering ni fani inayounganisha Mechanical na Electronics Engineering kwa pamoja mfano mwepesi ni utengenezaji wa/au utaalamu wa Robots