kwa Marekani, underfraduate degee ni miaka minne.
Mara nyingi associate degree hutolewa na community colleges na baadhi ya four years universities.
Kwenye community college utasoma miaka miwili na kupata associate degree, then unaenda university kumalizia miaka miwili mingine (same program) na huko utapata degree kamili.
Wengi huchagua kwenda community college kuanza na associate degree sababu wanataka wapata associate yao mapema ili wakapambane kwenye ajira.
Ukienda kusoma associate degree halafu uende mayo Tanzania au Kenya au Uganda na Rwanda, sijui utajitambulisha vipi hata ueleweke.