Msaada jinsi ya kuondoa write protected kwenye flash disk

MWEMBEKIUNO

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
1,877
Reaction score
2,531
Habari wana-jf, nimekumbwa na tatizo hilo kwenye flash disk yangu, naomba kwa wajuzi mnisaidie.

 
Angalia vizuri itakuwa lock ya kuprotect mkuu ,huwa kuna flash zipo za aina hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…