Nina mashaka na hiyo IMEI namba ya kwenye simu yako kama inatambulika, pili info za simu yako hazijitoshelezi, unatakiwa uweke model inayoanzia na sm-a*** ili kuitambua kwa uhakika.
Tuma IMEI namba zako uone kama zinatambulika, zikitambulika post model hapa.
Mwisho je, ukiweka laini simu yako inaleta ujumbe gani unaohusiana na laini?