Msaada jamani

MAMU35

Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
63
Reaction score
6
Wanajamii naomba msaada kwani mdogo wangu alipokuwa anatumia laptop yangu amefanya programm zote zionekane kuwa ni microsoft word.Nimejaribu ku restore lakini bado program zote zinafunguka kwa microsoft word. Naomba msaada nifanye nini ili programm zifunguke kama kawaida. Natumia window 7. Nasubiri msaada wandugu
 
Zinafungukaje kwa microsoft word!? Yani hadi Window media player nayo inafunguka kwa microsoft word!!!
 
Zinafungukaje kwa microsoft word!? Yani hadi Window media player nayo inafunguka kwa microsoft word!!!
yaani program zote mfano mozila, skype microsoft excell ni nyingine zipo hivyo
 
kama unayo setup ya microsoft office. uninstall hiyo microsoft office. restart pc. halafu install tena microsoft office
 
Sasa kama huna Microsoft office sasa hizo program zinajifunguaje km Microsoft word
 
pole Sana mkuu..kuuninstall Ni solution ya mida mfupi..uki install upya Microsoft program zitabak vile vile yaani itazidi kuchora kila kitu kama Microsoft word..
cha kufanya nenda start na type search system restore.. Then restore to an early time PC ilipokuwa perfect.. Good luck
 

Mkuu nashukuru wa ushauri wako ila nimejaribu ku restore lakini bado hakuna mabadiliko yoyote
 
There you go, download hii folder, extract hizo files 2, zifungue moja moja then kubali YES and after you've done that restart your machine and ur gud to go!!!
FILES.zip
 

Attachments

nakushukuru sana mkuu,nimefanikiwa.ubarikiwe
you're welcome brother!! In case u were wondering the registry files were corrupted. these two files just re-wrote the corrupted files. Cheers mate
 
you're welcome brother!! In case u were wondering the registry files were corrupted. these two files just re-wrote the corrupted files. Cheers mate

CHEERSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS!!!πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…