Mzee unaogopa Mimba badala ya maradhi? by the way hakuna Mwanamke wa Kijanja anayepata Mimba bila yeye mwenyewe kutaka kubeba ujauzito, najuwa swali hili umeliuliza usiku mkubwa kama huu i hope utakuwa una-Game, kula raha Kijana wacha uoga wa Mimba.
Jamani labla cjatoa maelezo ya kutosha ni kwamba mm nna wife sema 2na baby ambaye bado ni "mdogo" then wife anataka baby mwingine na naona leo anantegeshea ss naogopa acje "kunasa" wenyewe cmjua life tafu! Pleas nisaidieni!!

Huu ndio tunauita utoto, yaani Family plan ya nyumbani kwako unashindwa kupanga na mke wako unataka upangiwe na JF members!!
Kila siku mnahubiriwa kwenye maredio na vipeperushi kwamba vunja ukimya ongea na mwenzako na wewe ndio unatakiwa umuelimishe sababu za uzazi wa mpangilio na hali halisi ya kiuchumi ilivyo.
By the way kuwa na mke si sababu ya kukufanya usitumie Condom mnapokura uroda na mkeo, huyo mkeo anajuwa Vizuri siku zake mbaya na nzuri, sema na mkeo Mkuu, wewe wa wapi?