tizo1, umeona alivyokujibu mrimi? Anasema:
''lakini hii inaambatana na homa na pengine mkojo wenye rangi ya pepsi.'' , kwanini mkojo wenye rangi hiyo? Ni kwa sababu unasubiri kiu ndipo unywe maji.
mwili wa binadamu unapopungukiwa maji hutoa ishara (indicators), tumeziita ishara hizo kuwa ni magonjwa, hauumwi, una kiu, usiitibu kiu kwa madawa dr. Batmanghelidj.
kunywa glasi 1 ya maji (ml 250) kila baada ya masaa 3, halafu urudi kutujuza hali yako. Bonyeza hapa kujifunza zaidi kuhusu maji:
http://maajabuyamaji2.artisteer.net/