K kambenga1 Member Joined Mar 23, 2013 Posts 41 Reaction score 0 Sep 9, 2013 #1 wana jf naomba kujunzwa juu ya aina ya laptop nzuri kwa kuzingatia Ubora, uimara, aplications , charge storage, bei kulingana na thamani yake na vinginevyo ! itanisaidia mimi na atakae kununua laptop.
wana jf naomba kujunzwa juu ya aina ya laptop nzuri kwa kuzingatia Ubora, uimara, aplications , charge storage, bei kulingana na thamani yake na vinginevyo ! itanisaidia mimi na atakae kununua laptop.
S Seaman JF-Expert Member Joined Jan 19, 2012 Posts 439 Reaction score 69 Sep 9, 2013 #2 Wana jf Msaada nilizima laptop ikiwa low charge kuwasha imegoma nimetoa betri wapi nimeweka Chaja imegoma lupokea moto tatizo ni nn?
Wana jf Msaada nilizima laptop ikiwa low charge kuwasha imegoma nimetoa betri wapi nimeweka Chaja imegoma lupokea moto tatizo ni nn?