wakuu heshima kwenu. itifaki ikizingatiwa.
ninatumia itel ambayo n smartphone ina tatizo la kujaa hata kama sija sija dounload chochote. internal memory ni 149mb. kila nikifanyia back up restore inakuwa vizur ila baada ya siku moja inanambie phone memory full delete some items.
afu aplication zinaanza kustop zote hadi sim ikiingia haipokeleki.
nisaidien wakuu nimechoka sasa.
Simu yako ina space ndogo sana kwa apps za android Ku run.... Fanya Ku root Simu na ufute unnecessary apps kweny hyo smu na uwe una move apps to SD card. Hii kidogo itasaidia .
Kumbuka Ku root Simu ni hatari.
nilisha move apps to SD card mkuu. na nlishafuta sana zimebaki zile ambazo hazifutiki. space inaeza kuwa free 62mb baada ya mda unakuta 7mb sijui zinaenda wapi.