Msaada iPhone 6 hotspot

Jaribu kuconnect kwa kutumia bluetooth badala ya wifi km itasumbua basi moja kati ya hizo device zako ina shida
 
Bluetooth,ndio mpango mzima unalala nayo ikiwa connected
 

Nimetumia iphone kwa kipindi kilefu moja kati ya shida yake ni hiyo hakuna namna nyingine unavyo fanya ndio njia pekee android ipo vizuri zaidi kwa Hotspot
 
Hata iphone inaconnect siku nzima bila shida.

Washa bluetooth kwanza ndio uconnect.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…