Msaada IPHONE 5s na SAMSUNG GALAXY s5 ipi bora?

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2008
Posts
2,268
Reaction score
338
Najua kuna wengi watasema ni google kuona specifications za simu hizo. Lakini naomba kujua kutokana na experience za watu waliokwisha zitumia simu hizi ili name ninunuapo niwe najua kutoka kwa watu waliokwisha zitumia. Msaada wenu muhimu sana kwangu, natanguliza shukrani.
 
Nadhani hapo swala kubwa ni wewe unapenda radha ipi Android au iOs?
Ukiniuliza mimi i will go for iOs sababu naamini ndio os bora kwa maono yangu
 
Kama hupendi complications then S5 ni nzuri zaidi, otherwise iphone is better.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Iphone 5 is better, Samsung Galaxy S5 is the best.
Kwa USA most of the S5 new users n yepple defectors hasa wa eye-phone5. Think about it, ppl rushing to S5 in expense of yepple...there must be something behind fascinated them(in US)...this proves that S5 is better than yepple beyond reasonable doubt.
 
Apple ni ya kawaida sana..
Hampat hata windows phones..
Chukua s5
 
Najua umeuliza bout samsung s.5 na iphone 5...Mm natumia iphone 4s na samsung galaxy s.3 zte nime weka apps za aina moja katika matumizi samsung s.3 kuna muda km inakuwa nzito ina stack ila iphone inapiga mzigo bila tatizo..
 

Kwa kuwa hoja yako umeuliza hapo ni "Ipi Bora"
jibu lake litakuwa...

"Zote ni bora."



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…