Naomba mnisaidie, iPhone yangu inamaliza sana MB Megabytes sijui ndyo iPhone zote au ni ya kwangu tu, kama ni setting naomba mnielekeze nifanye setting, yaani nikinunua Mb700 fasta tu utaskia umebakiwa na Mb5
Plz naomba msaada wenu CHIEF MKWAWA na wengine