wakuu habari za majukumu ya kutwa nzima,nina compyuta ya mezani ambayo nlikua natumia mtandaoni.hivi karibuni nikiingia kwenye web mfano chrome au internet explorer.nkiandika kitu nkasearch inaleta ila nkisema naendelee kubrowse inaandka site cant be reached.ila nikiangalia connections imeandka internet access ,mana natumia simu kuungnisha .naomben mwenye uelewa anisaidie.
1. Badili browser. Tumia Vivaldi (www.vivaldi.com) ujionee tofauti.
2. http://172.217.170.46 andika hiyo kwenye browser uone kama unaweza kufikia website ya Google.
3. Badili DNS kwenye kompyuta yako. Tumia 8.8.8.8 na 4.4.4.4
Angalia kama browser yako imeseti kutumia proxy. Chagua no proxy.
Pamoja. Tupatie mrejesho tafadhali.Asante sana kiongozi