msaada i pod md 528

nurbert

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,887
Reaction score
428
nmeona wameniandikia conection za WIFI NA VPN.
SAsa vpn ni nini na inaungwa vp maana ina ulisa
description
sever
account
rsa secur id
passworld
af
sever
port
so hv najazaje then na i conect vp.
Then kuingiza nyimbo inakuaje maana njia ya kawaida imegoma! Kama kuna software naomba mnitajie. Asante
 
kuhusu nyimbo, muziki, video na picha lazima uwe na i tunes..... hayo mengine subiri wataalam zaidi
 
Dah nimetype sana mwishoni ikabuma JF "Database error" anyway VPN achana nayo haina umuhimu kwa utumiaji wa kawaida unaweza kusoma zaidi hapa kuhusu VPN Virtual private network - Wikipedia, the free encyclopedia ungekuwa na VPN server somewhere ungejaza details zake hapo.

Kuhusu nyimbo, install itunes kwenye PC then connect iPod na PC kwa USB.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…