Msaada Huyu Dada ana jini mahaba

Mleta Mada Umeexxagerate Things. Ila Mabinti Wenye Majini Ni Hatari. Kuna Mmoja Namjua Alitupiwaga Tukiwa Shule,Sekondari Ni Hatari,Alikua Ananyanyua Kitanda Akiingia Uvunguni Kumshika Ilikua Changamoto Maana Anaongea Maneno Ya Vitisho Sana,Na Anakua Mwekundu Mishipa Inamsimama. Walikua Wanamfungia Chumbani Mpaka Shekhe Aje Na Ubani Kuyashusha. Sijajua Jini Mahaba Inakuaje Akimuingia Mtu Ila Sidhani Ndo Kutaka Kufanya Hadharani.
 
Matumizi mabaya ya kifurushi(bundle) ulichoungiwa na shemeji yako!
 
Duu, hongera kwa uongo uliotukuka. Embu jaribu kuandika riwaya ikibidieeeeeeee
 
Mwanzo hadi mwisho wa story yako ya kitoto sijaona mkato wala nukta!

Unaboa asee!!
 
Kuna jamaa waongo humu, khaaa! Uzuri mimi huwa napenda mtu anayejidanganya mwenyewe.
 
Form six wamemaliza mtihani
Tujiandae thread zisizo na kichwa wala miguu
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sio jini mahaba huyo... Ana pepo la ngono!
Jini mahaba anamaliza shughuli mwenyewe, haitaji msaada wa kidume mwingine!!!
 
Watu mna roho ngumu!!! Utamuaminije jini akunyonye dushe? Akikuchenjia na kuingata sijui utamlaumu nani!!?
Kwa hapo tu, Nna wasiwasi na ukweli wa hii story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…