Msaada Huyu Dada ana jini mahaba

Hili tango pori,jini mahaba na vibeberu ! Wapi na wapi? Usitufanyie hivo dogo bana.
 
Hadhi ya jf inazidi kushuka kwa sababu ya upuuzi kama huu
 
Mpaka majini yote tisa yamekojoa
Umetisha aiseee
 
Sasa kama ushagegeda sisi tufanyeje ?

Tuhalalishe zzinaa au
Comment Yako Kuhusu Form 6. Mnajikutaga Nyie Ndo Watu Wazima Kisa Kitu Hakijakupendeza Unasema Cha Watoto Mara Sijui Shule Zimefungwa Zinafunguliwa Lini. Why?
 
Mkuu we kiboko umeyakojolesha majini tisa?
Kazi kwako nayo yatokapotaka kukukojolesha.
 
Pole sana...
Inasikitisha sana...
Usipende kuangalia movie peke yako, haya ndiyo madhara yake... Hallucination..


Cc: mahondaw
Hayo madhara inategemea ntu na ntu, mimi huwa naangalia horrow movies nikiwa peke yangu lakini na madhara kama hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…